Saturday, December 24, 2011

ZITAMBUE NDOTO ZAKO UZIOTAZONDOTO
(1) Ukiota  unacheza karata= utapata bahati
(2) Ukiota  uakula kabeji= utapata maradhi ya kujitakia.
(3) Ukiota  unaona karanga= vulugu haziishi nyumbani.
(4) Ukiota  umevaa nguo mpya= utazawadiwa
(5) Ukiota  umevaa nguo nyeusi= utapata mikosi.
(6) Ukiota  umevua nguo= utapata hasala lakini kama nguohiyo ni cchafu= mikosi ita kuondoka.
(7) Ukiota vaa nguo zilizo chanika= utapatwa na aibu.
(8) Ukiota umevaa nguo za mapambo au za maua= utapata furaha.
(9) Ukiota unaendesha kigari cha farasi= utakua ombaomba.
(10) Ukiota unachoma mkaa= utaoa mwanamke alie achika.
(11) Ukiota umepata mafua= una maadui wa kisilisili.
(12) Ukiota umeona mahindi= utapata faida katika shugurizako.
(13) Ukiota uko kwenye ukumbi wa mziki = utapata habari nzuli toka kwa rafikiyako wa karibu.
(14) Ukiota kiza kinene= utadanganywa au utatapeliwa.
(15) Ukiota unaona giza kasha ukawa mwanga= kama ni mfungwa atafunguliwa na kama si mfungwa ni dalili ya mamboyako kifunguka.
(16) Ukiota uko msibani= harusi. Ila ndotohii ikijirudia ni dalili ya jinni maiti.
(17) Ukiota jinni limekudhulu au umeliogopa kupita kiasi= kuna hatali mbeleni.
(18) Ukiota unchimba shimo na kasha likapotea= nidalili ya kuikosa mazao na utafukuzwakazi na pia ni dalili ya kukosa nvua.
(19) Ukiota unatumbukia shimoni= utapata mikosi na utatesekasana ki maisha.
(20) Ukiota unavuka mto kwa kutumia gogo= utapata watetezi katika mamboyako na kama unakesi utasshinda kwa msaada wa mtu.
(21) Ukiota umemuona dragon= utapata utajili kwa njia ya mazingali(madawa)
(22) Ukiota umemuona chatu= utapata utajili.
(23) Mwanaume akiota anaona nguo ya kike imeanikwa= atapatwa na mabalaa.
(24) Ukiota unakunywamaji wakati jia linachomoza na una kinywa kwa kutumia mkono wa kushoto= utapata maradhi.
(25) Ukiota ulewa pombe kupita kiasi= utapata marafiki wa maana na pia ni mafanikio ki mapenzi.
(26) Ukiota unazama ndani ya maji =nidalili ya kupata mikosi.
(27) Ukiota unamuona mtu anazama ndani ya maji= mikosiyako itaisha.
(28) Ukiota unonafunza= kaachonjo kuna maadui.
(29) Ukiota unakula= mikosi.
(30) Ukiota unalishwakitu= nikweli umelishwa.
(31) Ukiota umekufa kwa kupiganiadini= amalizako ni njema.
(32) Ukiota unakunywa maziwa= utapata mafanikio.
(33) Ukiota mkeo matiti ni makubwa= utapata mafanikio.
(34) Ukiota mbalamwezi inang”aa= utapata furaha na mafanikio
(35) Ukiota umepotezapesa= utapata hasala ki biashara.
(36) Ukiota umepatahela = mafanikio ila si kuokota.
(37) Ukiota unaokotahela= utapata mikosi.
(38) Ukiota umekunja chuma= umewashinda maadui.
(39) Ukiota nyota inang”aa wakatihuo una mchumba= mtafarakana na mchumbawako.
(40) Ukiota nyota imeanguka= afyanjema.
(41) Ukiota umemuona bata mzinga= ndoayenu ni ya mafanikio na mtapata watotowengi.
(42) Ukiota unang”okajino= utapoteza rafiki wa karibu.
(43) Ukiota umeng”oka meno ya mbele utapoteza marafiki wengi na ndugu watakuchukuya.
(44) Ukiota unikunywa maji masafi= utapata furaha.
(45) Ukiota unakunywa maji machafu= matatizo yanakunyemeleya.
(46) Ukiota unaona maba= utapata maumivu.
(47) Ukiota unachomwa mwiba= utapoteza pesa.
(48) Ukiota radi inapiga= mafanikio katika biashara.
(49) Ukiota radi imekupiga= umekumbwa na jinni.
(50) Ukiota umemuona kobu= biashara zako zitaenda polepole
(51)             ukiota unakulakobe= mtalekebisha tofautizenu za ndoa.
(52) Mwanamke alie achika akiota anafunga ndoa= ni nikosi.
(53) Mgonjwa akiota anafungandoa na mwanamke alie achika= atakufa.
(54) Ukiota unalia= ni fulaha na upendo.
(55) Mgonjwa akiota anafunga ndoa na msichana ambae haja olewa= atapona,
(56) Ukiota unaona karatasi nyeupe= utapata mke wa maana na watoto wa heli.
(57) Ukiota unachana karatasi= utaendekeza umalaya.
(58) Ukiota unatembea katika bara bara lililo nyooka= mafanikio mbeleyako na ni afya njema.
(59) Manamme akiota anamuona tausi= atapata mke mzuri na atatajilika.
(60) Mwanamke akiota anamuona tausi atapata mwanamme tajiri lakini ni muongo muongo.
(61) Ukiota unamuona bundi= nimikosi na vifungo
(62) Ukiota njegele zimepikwa= mafanikio.
(63) Ukiota unakula mkaa= utapata mikosi.
(64) Ukiota unaona vitunguu= utapata habali njema.
(65) Mwanamme akiota anaona vitunguu= atapata mwanamke mwaminifu ila ni mwenye hasira.
(66) Ukiota unachimba kaburi= jinni maiti na pia ni dalili yakwa mba kuna tabia unayoifanya si nzuli itkuingiza katika wakati mgumu.
(67) Ukiota  unalima na ng”ombe= mafanikio.
(68) Ukiota watu wanalima na ng”ombe lakini zinazama= nidalili ya mavuno mabaya.
(69) Ukiota watu wanalima juu yam lima= utapoteza mifugo.
(70) Ukiota umepewa tundadam chachu= utagombana na rafikiyako.
(71) Tajila akiota nasali= furaha
(72) Maskini akiota anasali= matatizo na mikosi.
(73) Mwanamme akiota anachota maji kisimani= ataoa.
(74) Mwanamke akiota anachota maji kisimani= ataolewa.
(75) Ukiota una kunywa wiski= ni mikosi, mabalaa, majuto.
(76) Ukiota upepo wa kimbunga= utaoa mke mwenye makelele.
(77) Tajili akiota amebemba mbao= mikosi
(78) Maskini akiota amebeba mbao= bahati.
(79) Ukiota una andika=jihadharili na kaulizako.
(80) Ukiota unapiga miayo= rafikizako wamekuchoka.
(81) Ukiota unaona kitu chochote cha njano= mafalakano katika mapenzi yenu.
(82) Ukiota unamuona punda milia= kua mwangalifu katika maishayako.
(83) Ukiota watu wanapiga talumbeta.= utapata mikosi na matatizo.
(84) Ukiota unaona ndim= utapata ugonvi au kutukanwa.
(85) Ukiota unaona mwanamke bikra= utapata habali njema.
(86) Maskini akiota anatapika  atapatapesa lakini kwa tajili atafilisika.
(87) Ukiota vita= matatizo na huzuni.
(88) Ukiota unamuona mamamkwe= utaugua.
(89) Ukiota unaongeana mama yako vizuli= uta fanikiwa kwa lolote.
(90) Ukiota mpishi yuko ndani ya nyumba= utao mwanamke wa maana na kama una matatizo. Yataondoka.
(91) Mgonjwa akiota anamuona mpishi= haliyake itakua mbaya.
(92) Ukiota unaona kisu= mafaninio.
(93) Ukiota unamuona paka utaibiwa.
(94) Ukiota paka amekuuma= utaletewa habali za uongo.
(95) Ukiota unakula keki= furaha na mafanikio.
(96) Ukiota mshumaa unawake kasha ukazimika= mamboyako yatahalibika pia ni ishala ya kufilisika.
(97) Mgonjwa akiota mshumaa umawashwa = atapona.
(98) Ukiota mshumaa ambao haujawashwa= utapata zawadi nono.
(99) Ukiota unaona watoto wengi ndane ya nyumba=  nadalili ya kufungika kwa kizazi
(100)             Ukiota unakunywa kahawa= marafikizako ndo maaduizako.
21 comments:

 1. Assalam waleykum<naitwa Tarik nilioa kisha nikaacha sina mke hivi sasa nimeota nimepata watoto mapachaWakiume wote na mchumba wangu wa sasa nina tarajia kufunga nae ndoa

  ReplyDelete
 2. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 3. Hayo majina unayagawanyaje? Naomba mchanganuo jinsi ya kufanya

  ReplyDelete
 4. Hayo majina unayagawanyaje? Naomba mchanganuo jinsi ya kufanya

  ReplyDelete
 5. Dr mm Nina mpenzi wangu kila Mara huota analala na mwanaume asimjua!lakini sasa hivi hiyo mwanaume anamjia na watoto Wawili mmoja ana miaka 4 mwingine mdogo anampa amnyonyeshe,na kisha humuingilia tena kimaumbile huku akimlaum kwann ana mwanaume wengine

  ReplyDelete
 6. Naomba unitafsilie hii ndoto
  Kwani inajirudia Mara ya pili
  Naota namkaba shingoni paka wa njano na ninampeleka kwa mama yangu mkubwa lakini na yeye kwa uoga anakua anamuogopa kumgusa na ninakua nampigiza chini kwa hasira na ninashtuka

  ReplyDelete
 7. Inakuwaje Pale Unapomuota Chat Afu Ukamkimbia Kwa Woga?

  ReplyDelete
 8. Replies
  1. Shamba maana yake mwanamke au Mke,,,inategemea umeota shamba limefanyaje

   Delete
  2. Shamba maana yake mwanamke au Mke,,,inategemea umeota shamba limefanyaje

   Delete
 9. Replies
  1. Asalaam alykum mimi nimeota nimemuona jongoo jeusi akiwa chumbani nikamwita mfanyakazi amtoe yule jongoo akaelekea nje mara akaingia tena mfanyakazi akaniletea mafuta ya taa namwagia nashtukia namwagia mtoto wangu wa kwanza wa kike inamaana gani??

   Delete
 10. naita Saidi..usiku wa kuamkia leo nimeota nime mlushia jiwe simba nikijua mbwa baadae akanikimbiza .nilipo fika mbele ya watu kaniacha..ina maaana gani ndoto hii.naomba kufaamu.

  ReplyDelete
 11. Ninandoto inanisumbua sana imenishinda kutafsir. Naota nyuki lkn hazijawah kuniuma znanipitia tuuu jaman naomben tafsir mr

  ReplyDelete
 12. Ninandoto inanisumbua sana imenishinda kutafsir. Naota nyuki lkn hazijawah kuniuma znanipitia tuuu jaman naomben tafsir mr

  ReplyDelete
 13. Ninandoto inanisumbua sana imenishinda kutafsir. Naota nyuki lkn hazijawah kuniuma znanipitia tuuu jaman naomben tafsir mr

  ReplyDelete
 14. Nimeona tunazika watu waliokufa kwa ajali .ila tunawazika karibu na kwangu

  ReplyDelete