Sunday, December 25, 2011

IJUE NYOTAYAKO


NYOTA
JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO  NA LA MAMA GAWANYA  KWA KUMI NA MBILI.
1.           IKIBAKI MOJA NI PUNDA.
2.           IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE.
3.           IKIBAKI TATU NI MAPACHA.
4.           IKIBAKI NNE NI KAA.
5.           IKIBAKI TANO NI SIMBA.
6.           IKIBAKI SITA NI MASHUKE .
7.           IKIBAKI SABA NI MIZANI .
8.           IKIBAKI NANE NI NGE.
9.           IKIBAKI TISA NI MSHALE.
10.      IKIBAKI KUMI NI MBUZI.
11.      IKIBAKI KUMI NA  MOJA NI NDOO.
12.      IKIBAKI KUMI NA MBILI NI SAMAKI.

NA PIA KUNA NYOTA ZA AINA NNE AMBAZO NDIZO NYOTA ZA ASILI NA UKITAKA KUZIJUA NYOTA HIZO UNACHUKUA JINA LAKO LA BABA NA LA MAMA UNAGAWANYA KWA NNE
1.           IKIBAKI MOJA NI  MOTO .
2.           IKIBAKI MBILI NI UDONGO.
3.           IKIBAKI TATU NI UPEPO.
4.           IKIBAKI NNE NI MAJI.

NYOTA HIZI NDIZONYOTA ZA ASILI AMBAZO INATAKIWA TUZIFAHAMU MFANO MTU MWENYE NYOTA YA MOTO HATAKIWI KUFANYA KAZI ZA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI  MAANA NYOTA YAKE ITAZIMIKA.
MWENYE NYOTA YA MOTO KAZI ZAKE NI UDREVA,UASKARI,UMACHINGA,HOTELI,, BIASHARA, ZINAZOHUSIKANA NA KUSAFIRI SAFIRI AU SALUNI MAANA SALUNI MOTO UNATUMIA UMEME ,FUNDI WELDING,NA KAZI ZINAZOHUSU UPEPO MAANA MOTO NA UPEPO ZIKO PAMOJA.
NA PIA NYOTA YA MAJI NA UDONGO ZINAFANYA KAZI MOJA.KAZI ZAO NI UVUVI,KULIMA ,UFUGAJI,KUCHIMBA MADINI, FUNDI WASH,FUNDI UJENZI.N.K.
MTU MWENYE NYOTA YA MOTO INATAKIWA AOLEWE NA MTU MWENYE NYOTA YA UPEPO.
NA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI INATAKIWA AOANE NA NA MTU MWENYE NYOTA YA UDONGO.

WATU WENGI NDOA ZAO HUHARIBIKA MAANA HAWAFATI MAMBO HAYA .KUJUA  NYOTA NI MUHIMU SANA NA HATA KIBIASHARA INATAKIWA TUJUE NI HERUFI GANI ZA KUANDIKA KATIKA BIASHARA AU KATIKA MADUKA YETU.
`
PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI MFANO MWENYE HERUFI INAYOANZA NA   A,=PUNDA.  B=NG,OMBE.   C=MAPACHA.    D= KAA.   E= SIMBA.     F=MASHUKE.    G=MIZANI .  H=NGE.      I=MSHALE.    J==MBUZI.  K= NDOO.  L=SAMAKI.   M=PUNDA. N=NG,OMBE.   O=MAPACHA. P=KAA.   Q=SIMBA.   R=MASHUKE.   S=MIZANI.     T=NGE.   U=SAMAKI.   V=MBUZI.    W=NDOO.   X=SAMAKI.    Y=PUNDA.    Z=NG,OMBE..NA HIZO NI KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI YA MWANZO WA JINA LAKO.

PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUZALIWA  KUTOKANA NA MWEZI ULIOZALIWA MFANO.
TAREHE 19   MWEZI  WA   1   HADI   TAREHE   20  MWEZI    WA    2  NI   NDOO.
TAREHE 21   MWEZI  WA   2   HADI   TAREHE   20  MWEZI    WA      3  N I   SAMAKI.
TAREHE 21   MWEZI   WA    3   HADI   TAREHE   20  MWEZI   WA     4   NI    PUNDA.
TAREHE 21   MWEZI  WA   4    HADI    TAREHE   20    MWEZI  WA     5     NI  NG,OMBE.
TAREHE 21 MWEZI  WA    5       HADI    TAREHE  20   MWEZ I WA     6    NI  MAPACHA.
TAREHE 21 MWEZI WA    6        HADI   TAREHE   20     MWEZI  WA    7    NI KAA.
TAREHE 21 MWEZI WA    7       HADI    TAREHE    21       MWEZI  WA  8     NI   SIMBA.
TAREHE 22 MWEZI WA   8       HADI    TAREHE     22 MWEZI      WA      9         NI  MASHUKE.
TAREHE 23  MWEZI WA 9      HADI      TAREHE       22 MWEZI    WA     10     NI  MIZANI.
TAREHE 23 MWEZI WA 10     HADI      TAREHE    21 MWEZI     WA       11     NI     NGE.
TAREHE 22 MWEZI WA 11 HADI TAREHE 21 MWEZI   WA  12  NI    MSHALE.
TAREHE 21 MWEZI WA 12 HADI TAREHE 18 MWEZI WA  KWANZA  NI  MBUZI.

HIZO NDIZO  NYOTA KWA NJIA YA TAREHE .
PIA NYOTA HIZI ZIKO KATIKA MAGURUDUMU KAMA  NILIYOYATAJA HAPO NYUMA MFANO.
1.           NDOO=     MOTO
2.           PUNDA = MOTO.
3.           NG,OMBE =UDONGO
4.           MAPACHA = UPEPO.
5.           KAA=MAJI.
6.           SIMBA=MOTO.
7.           MASHUKE= UDONGO.
8.           MIZANI =UPEPO.
9.           NGE=MOTO.
10.      MSHALE=MOTO.
11.      MBUZI =UDONGO.
12.      SAMAKI = MAJI.



SIKU SAA NA KAZI ZAKE


SIKU SAA NA KAZI ZAKE
1.   JUMA TATU.
1.           SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI.
2.           SAA MBILI NI SAA  YA WATU AU ADUI AU KUVUNJA NDOA YA MTU.
3.           SAA TATU NI SAA YA MAPENZI.
4.           SAA NNE  NI SAA YA VITA NA ADUI.
5.           SAA TANIO NI SAA YA VITA NA UADUI.
6.           SAA SITA NI SAA YA KUTOA MAJINI.
7.           SAA SABA NI SAA YA KUFUNGA HIRIZI.
8.           SAA NANE NI SAA YA  KUFUNGA NDOA .
9.           SAA TISA NI SAA YA KUFANYA KAZI YOYOTE UTAFANIKIWA.
10.      SAA KUMI NI SAA YA KUUZA NA KUNUNUA.
11.      SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA WATU AU WANANDOA.
12.      SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA  KUINGIA KWA WAKUBWA  AU KWENDA KUOMBA KAZI SEHEMU.

2.JUMA NNE.

    1.SAA MOJA NISAA YA KUTENGANISHA AU NI SAA YA KUROGEA  AU KUTUMA MAJINI.
    2.SAA MBILI NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA AU KWENDA KUOMBA KAZI.
3. SAA TATU NI SAA YA MAHABA.
4.SAA NNE NI SAA YA KUTENGANISHA NA NI SAA YA UCHAWI.
5.SAA TANO NI SAA YA MAPENZI AU KUOGA DAWA ZA MAPENZI AU KUFANYA DAWA YOYOTE YA MAPENZI.
6.SAA SITA NI SAA YA VITA AU KUMPIGA ADUI
7.SAA SABA NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA.
8.SAA NANE NI SAA  YA KUTENGANISHA PIA NI SAA YA UCHAWI.
9.SAA TISA NI SAA YA KWA WAKUBWA .
10.SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI NA KUOSHA DAWA.
11. SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA NA KUROGA.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI NA KUOSHA DAWA YA MAPENZI.

3.JUMA TANO
     1.SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI.
     2.SAA MBILI NI SAA YA MAPENZI.
    3.SAA TATU NI SAA YA  KUANZA JAMBO LOLOTE UTAFANIKIWA.
    4.SAA NNE NI SAA YA MAZINDIKO.
   5. SAA TANO NI SAA YA KUKUABILIANA NA VIONGOZI AU MAFARAKNO YA NDOA.
  6. SAA SITA NI SAA YA KUHARIBIKA KWA NDOA AU MAFARAKANO YA NDOA.
  7.SAA SABA NI SAA YA KUPENDA WANAWAKE.
8.SAA NANE NI SAA YA KUKOSA KILA KITU CHOCHOTE KILE UTAKACHOKIFANYA UTAKOSA.
9.SAA TISA NI SAA YA KUANDAA VITA AU KUKUSANYA SILAHA.
10.SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI .
11. SAA KUMI NA MOJA NI  SAA YA KUNYWA DAWA.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA KUTIMIZIWA HAJA.

4.ALHAMISI.
   1.SAA MOJA NI SAA YA KUANDIKA MAKOMBE YA MAHABA.
   2.SAA MBILI NI SAA YA WASIWASI.
   3.SAA TATU NI SAA YA KUANZA SAFARI UTAFANIKIWA.
  4.SAA NNE NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA.
  5.SAA TANO NI SAA YA KUVUNJA NDOA AU KUFARAKANISHA.
  6.SAA SITA NI SAA YA MAPENZI .
  7.SAA SABA NI SAA  YA KUFUKUZA AU KUMWANGAMIZA JINI.
  8.SAA NANE NI SAA YA MAPENZI.
  9.SAA TISA NI SAA YA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.
  10.SAA KUMI NI SAA YA KUVUNJA NDOA .
  11.SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA MAPENZI.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI.

5.IJUMAA.
   1.  SAA MOJA NI SAA YA MAPENZI .
    2.SAA MBILI NI SAA YA KUBAINI AU KUFICHUA UCHAWI.
   3.SAA TATU NI SAA YA MAPENZI NA KUOSHA DAWA AU KUOGA DAWA.
  4.SAA NNE NI SAAYA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.
 5.SAA TANO NI SAA YA KUWAONA  VIONGOZI AU KUOMBA KAZI.
 6.SAA SITA NI SAA YA KUFUNGA NDOA.
7.SAA SABA NI SAA YA KUWAONA VIONGOZI AU KUOMBA KAZI.
8.SAA NANE NI SAA YA MAPENZI.
9.SAA TISA NI SAA YA KUANZA SAFARI.
10.SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI.
11.SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUOMBA JAMBO LOLOTE NA UTAFANIKIWA LIWE LA KHERI AU L SHARI.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI.

6.JUMAMOSI.
     1.SAA MOJA NI SAA YA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.
     2.SAA MBILI NI SAA YA MAPENZI.
     3.SAA TATU NI SAA YA KUTENGANISHA AU KUFARAKANISHA.
    4.SAA NNE NI SAA YA KAZI ZOTE NZURI UKIFANYA UTAFANIKIWA.
   5.SAA TANO NI SAA YA KUFUNGA NDOA .
 6.SAA SITA NI SAA YA MAPENZI .
 7.SAA SABA NI SAA YA KUINGIA KWA WAKUBWA.
 8.SAA NANE NI SAA YA KUFUKUZA MAJINI.
  9.SAA TISA NI SAA YA KUWAPELEKA WATOTO KWA WALIMU.
10.SAA KUMI NI SAA YA KUVUNJA NDOA AU KUFARAKANISHA .
11.SAA KUMI NA MOJA NI SAA YA KUFICHUA UCHAWI.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA MAPENZI.

7.JUMA PILI
   1. SAA MOJA NI SAA YA KULIPA MADENI.
   2.SAA MBILI NI SAA YA KUTAFUTA MCHUMBA.
  3.SAA TATU NI SAA YA KUFUATILIA UTAKALO NA UTAFANIKIWA.
 4.SAA NNE NI SAA YA KUFANYA MAMBO YOTE MAZURI.
 5. SAA TANO NI SAA YA NUKSI AU  KUFARAKANISHA.
 6.SAA SITA NI SAA YA KUFANYA BIASHARA.
 7.SAA SABA NI SAA YA VITA.
8.SAA NANE NI SAA YA KINGA.
9.SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI NA KUOGA DAWA
10 SAA KUMI NI SAA YA MAPENZI.
11.SAA KUMI NAMOJA NI SAA YA KUTAFUTA MCHUMBA.
12.SAA KUMI NA MBILI NI SAA YA KUFANYA DAWA ZA MITI NA UTAFANIKIWA.

Saturday, December 24, 2011

ZITAMBUE NDOTO ZAKO UZIOTAZO



NDOTO
(1) Ukiota  unacheza karata= utapata bahati
(2) Ukiota  uakula kabeji= utapata maradhi ya kujitakia.
(3) Ukiota  unaona karanga= vulugu haziishi nyumbani.
(4) Ukiota  umevaa nguo mpya= utazawadiwa
(5) Ukiota  umevaa nguo nyeusi= utapata mikosi.
(6) Ukiota  umevua nguo= utapata hasala lakini kama nguohiyo ni cchafu= mikosi ita kuondoka.
(7) Ukiota vaa nguo zilizo chanika= utapatwa na aibu.
(8) Ukiota umevaa nguo za mapambo au za maua= utapata furaha.
(9) Ukiota unaendesha kigari cha farasi= utakua ombaomba.
(10) Ukiota unachoma mkaa= utaoa mwanamke alie achika.
(11) Ukiota umepata mafua= una maadui wa kisilisili.
(12) Ukiota umeona mahindi= utapata faida katika shugurizako.
(13) Ukiota uko kwenye ukumbi wa mziki = utapata habari nzuli toka kwa rafikiyako wa karibu.
(14) Ukiota kiza kinene= utadanganywa au utatapeliwa.
(15) Ukiota unaona giza kasha ukawa mwanga= kama ni mfungwa atafunguliwa na kama si mfungwa ni dalili ya mamboyako kifunguka.
(16) Ukiota uko msibani= harusi. Ila ndotohii ikijirudia ni dalili ya jinni maiti.
(17) Ukiota jinni limekudhulu au umeliogopa kupita kiasi= kuna hatali mbeleni.
(18) Ukiota unchimba shimo na kasha likapotea= nidalili ya kuikosa mazao na utafukuzwakazi na pia ni dalili ya kukosa nvua.
(19) Ukiota unatumbukia shimoni= utapata mikosi na utatesekasana ki maisha.
(20) Ukiota unavuka mto kwa kutumia gogo= utapata watetezi katika mamboyako na kama unakesi utasshinda kwa msaada wa mtu.
(21) Ukiota umemuona dragon= utapata utajili kwa njia ya mazingali(madawa)
(22) Ukiota umemuona chatu= utapata utajili.
(23) Mwanaume akiota anaona nguo ya kike imeanikwa= atapatwa na mabalaa.
(24) Ukiota unakunywamaji wakati jia linachomoza na una kinywa kwa kutumia mkono wa kushoto= utapata maradhi.
(25) Ukiota ulewa pombe kupita kiasi= utapata marafiki wa maana na pia ni mafanikio ki mapenzi.
(26) Ukiota unazama ndani ya maji =nidalili ya kupata mikosi.
(27) Ukiota unamuona mtu anazama ndani ya maji= mikosiyako itaisha.
(28) Ukiota unonafunza= kaachonjo kuna maadui.
(29) Ukiota unakula= mikosi.
(30) Ukiota unalishwakitu= nikweli umelishwa.
(31) Ukiota umekufa kwa kupiganiadini= amalizako ni njema.
(32) Ukiota unakunywa maziwa= utapata mafanikio.
(33) Ukiota mkeo matiti ni makubwa= utapata mafanikio.
(34) Ukiota mbalamwezi inang”aa= utapata furaha na mafanikio
(35) Ukiota umepotezapesa= utapata hasala ki biashara.
(36) Ukiota umepatahela = mafanikio ila si kuokota.
(37) Ukiota unaokotahela= utapata mikosi.
(38) Ukiota umekunja chuma= umewashinda maadui.
(39) Ukiota nyota inang”aa wakatihuo una mchumba= mtafarakana na mchumbawako.
(40) Ukiota nyota imeanguka= afyanjema.
(41) Ukiota umemuona bata mzinga= ndoayenu ni ya mafanikio na mtapata watotowengi.
(42) Ukiota unang”okajino= utapoteza rafiki wa karibu.
(43) Ukiota umeng”oka meno ya mbele utapoteza marafiki wengi na ndugu watakuchukuya.
(44) Ukiota unikunywa maji masafi= utapata furaha.
(45) Ukiota unakunywa maji machafu= matatizo yanakunyemeleya.
(46) Ukiota unaona maba= utapata maumivu.
(47) Ukiota unachomwa mwiba= utapoteza pesa.
(48) Ukiota radi inapiga= mafanikio katika biashara.
(49) Ukiota radi imekupiga= umekumbwa na jinni.
(50) Ukiota umemuona kobu= biashara zako zitaenda polepole
(51)             ukiota unakulakobe= mtalekebisha tofautizenu za ndoa.
(52) Mwanamke alie achika akiota anafunga ndoa= ni nikosi.
(53) Mgonjwa akiota anafungandoa na mwanamke alie achika= atakufa.
(54) Ukiota unalia= ni fulaha na upendo.
(55) Mgonjwa akiota anafunga ndoa na msichana ambae haja olewa= atapona,
(56) Ukiota unaona karatasi nyeupe= utapata mke wa maana na watoto wa heli.
(57) Ukiota unachana karatasi= utaendekeza umalaya.
(58) Ukiota unatembea katika bara bara lililo nyooka= mafanikio mbeleyako na ni afya njema.
(59) Manamme akiota anamuona tausi= atapata mke mzuri na atatajilika.
(60) Mwanamke akiota anamuona tausi atapata mwanamme tajiri lakini ni muongo muongo.
(61) Ukiota unamuona bundi= nimikosi na vifungo
(62) Ukiota njegele zimepikwa= mafanikio.
(63) Ukiota unakula mkaa= utapata mikosi.
(64) Ukiota unaona vitunguu= utapata habali njema.
(65) Mwanamme akiota anaona vitunguu= atapata mwanamke mwaminifu ila ni mwenye hasira.
(66) Ukiota unachimba kaburi= jinni maiti na pia ni dalili yakwa mba kuna tabia unayoifanya si nzuli itkuingiza katika wakati mgumu.
(67) Ukiota  unalima na ng”ombe= mafanikio.
(68) Ukiota watu wanalima na ng”ombe lakini zinazama= nidalili ya mavuno mabaya.
(69) Ukiota watu wanalima juu yam lima= utapoteza mifugo.
(70) Ukiota umepewa tundadam chachu= utagombana na rafikiyako.
(71) Tajila akiota nasali= furaha
(72) Maskini akiota anasali= matatizo na mikosi.
(73) Mwanamme akiota anachota maji kisimani= ataoa.
(74) Mwanamke akiota anachota maji kisimani= ataolewa.
(75) Ukiota una kunywa wiski= ni mikosi, mabalaa, majuto.
(76) Ukiota upepo wa kimbunga= utaoa mke mwenye makelele.
(77) Tajili akiota amebemba mbao= mikosi
(78) Maskini akiota amebeba mbao= bahati.
(79) Ukiota una andika=jihadharili na kaulizako.
(80) Ukiota unapiga miayo= rafikizako wamekuchoka.
(81) Ukiota unaona kitu chochote cha njano= mafalakano katika mapenzi yenu.
(82) Ukiota unamuona punda milia= kua mwangalifu katika maishayako.
(83) Ukiota watu wanapiga talumbeta.= utapata mikosi na matatizo.
(84) Ukiota unaona ndim= utapata ugonvi au kutukanwa.
(85) Ukiota unaona mwanamke bikra= utapata habali njema.
(86) Maskini akiota anatapika  atapatapesa lakini kwa tajili atafilisika.
(87) Ukiota vita= matatizo na huzuni.
(88) Ukiota unamuona mamamkwe= utaugua.
(89) Ukiota unaongeana mama yako vizuli= uta fanikiwa kwa lolote.
(90) Ukiota mpishi yuko ndani ya nyumba= utao mwanamke wa maana na kama una matatizo. Yataondoka.
(91) Mgonjwa akiota anamuona mpishi= haliyake itakua mbaya.
(92) Ukiota unaona kisu= mafaninio.
(93) Ukiota unamuona paka utaibiwa.
(94) Ukiota paka amekuuma= utaletewa habali za uongo.
(95) Ukiota unakula keki= furaha na mafanikio.
(96) Ukiota mshumaa unawake kasha ukazimika= mamboyako yatahalibika pia ni ishala ya kufilisika.
(97) Mgonjwa akiota mshumaa umawashwa = atapona.
(98) Ukiota mshumaa ambao haujawashwa= utapata zawadi nono.
(99) Ukiota unaona watoto wengi ndane ya nyumba=  nadalili ya kufungika kwa kizazi
(100)             Ukiota unakunywa kahawa= marafikizako ndo maaduizako.