Thursday, January 5, 2012

JITIBU MARADHI NA TIBA ASILIDAWA YA KUFUKUZA JINI MAIT,MAHEMBE,JINI MAHABA,NK

DAWAHIZI HUTUMIKA KUFUKUZA MAJINI AINA ZOTE HASA MAJINI MAITI NA MAHEMBE NA JINI MAHABA  MAANA HAWA NDIO MAJINI WANAOTIKISA ULIMWENGU NA WANACHANGIA KURUDISHA MAENDELEO YA WATU NA KUVUNJA NDOA ZA WATU.
1.     Majani ya mbaazi.
2.     Majani ya mkaratusi.
3.     Majani ya tumbaku.
4.     Majani ya mkuyu.
5.     Majani ya mzambalau.
6.     Majani ya matula tula jinalingine tunguja.
7.     Samaki aina ya shilonge.
8.     Majani ya makaburini ya konazote.
9.     Unga wa vitunguu swaum.
10.                        Mti ulio agushwa na upepo mizizi iliyo tazama juu.
11.                        Mvuje.
12.                        Hal titi.
13.                        Miat saaila.
14.                        Karafuu maiti.
 matumizi
sagadawahizi pamoja na uweke katika chupasafi au katika kopo la prastiki
kunywa kwenyeuji 1 mara 3 kwa siku mpaka siku7 au kama tatizolako ni la mda mrefu tumia kwa siku 14 au zaidi.
Pia kujifukiza ni asubuhi na jioni.
Na kuoga ni asubuhi na jioni pia unapotaka kulala unapaka utosini.
Hakika kama ni jinni anae kusumbua atatoka harakasana.

DAWA YA VIDONDA NDUGU
Chukua mti wa mseka mizizi yake ipalue vizuli kasha isage na uanike ikikauka saga unga tia katika kidonda


DAWA YA MADONDA YA TUMBO
1.     Chukua maziwa fresh na uya chemshe kasha yaipue yakipoa tia viini vya mayai ya kuku wa kienyeji mayai manne.
2.     Tia katika maziwahayo hasali mbichi  ujazo sawa.
3.     Kijiko cha unga wa majani ya mkalatusi.
4.     Kijiko cha unga wa habit soda.
Tumia dawahii moja mala 3 kwa muda wa siku7 . kama tatizohilo ni la muda mrefu tumia siku14.

NINI MAANA YA DAWA ZA KISUNNA
 TIBA Tiba maana yake ni ujuzi na utambuzi wa aina mbalimbali za maradhi ya binaadamu na namna ya kutibu kwa kutumia madawa yaliotajwa ndani ya Qurani na hadithi za mtume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake. Mfano asali imetajwa ndani Qurani na habbat saudaa imetajwa ndani ya hadithi. MARADHI YAMEGAWANYIKA SEHEMU MBILI (1) MARADHI YA KIMWILI AU KIBAYOLOGIA. kivuli hadi ikauke vizuri kasha ihifadhiwe sehemu yenye kivuli na ukavu na wala sio kwenye jua na unyevunyevu au upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi wa dawa. Hapa maana yake ni kua utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake ya uhalisi na bado muda wake haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi wa tabibu kuhusu tiba pia ni jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu akawa tabibu bila ya elimu au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa kuhusu maelekezo ya tabibu pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4  (f) Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu .Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA KUTUMIA DAWA NA NI UKAFIRI KUTEGEMEA DAWA. UTENGENEZAJI WA MADAWA Haya ni maradhi ambayo husibu au kudhuru mwili wa binaadamu na akipimwa hospitalini kupitia vipimo vya kisasa kama vile ultrasound , x ray, kupimwa presha,damu na choo maradhi hua hayaonekani. Mgonjwa huendelea kuumwa ingawaje vipimo havi kivuli hadi ikauke vizuri kasha ihifadhiwe sehemu yenye kivuli na ukavu na wala sio kwenye jua na unyevunyevu au upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi wa dawa. Hapa maana yake ni kua utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake ya uhalisi na bado muda wake haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi wa tabibu kuhusu tiba pia ni jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu akawa tabibu bila ya elimu au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa kuhusu maelekezo ya tabibu pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4  (f) Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu .Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA KUTUMIA DAWA NA NI UKAFIRI KUTEGEMEA DAWA. UTENGENEZAJI WA MADAWA onyeshi maradhi. 2 (2) MARADHI YA KIROHO (SPIRITUAL DISEASES) Haya ni maradhi ambayo binaadamu hua anaumwa na vipimo vya hospitali vinaweza kuonyesha au yasionyeshe maradhi . Maradhi haya hutokana na uovu wa uchawi, majini au husda. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA ILI DAWA ZA KISUNNAH ZIWE NA NGUVU AU ATHARI ZA KUTIBU. (a) Jinsi dawa ilivyopandwa shambani pia ni jambo la msingi kuzingatiwa ipandwe sehemu yenye rutuba nzuri na wala wakati wa kupanda usiweke mbolea yenye kemikali. Mmea unaopandwa bila mbolea ya viwandani yenye kemikali huitwa kiutaalamu Organic na mmea unaopandwa kwa mbolea ya kemikali huitwa in organic plants. Hakikisha mmea wa dawa unakua organic kwa sababu haitakua na madhara yoyote. Mmea ambao hupandwa kwa 3 mbolea ya kemikali ya viwandani hua na madhara ya hayo makemikali. Kwa hivyo hakikisha unapata dawa ambayo ni organic. (b) Kuhifadhi dawa baada ya kutoka shambani katika hadhi nzuri na utaalamu katika ghala . Hapa lazima kuanza dawa ikaushwe kweny(2) MARADHI YA KIROHO (SPIRITUAL DISEASES) Haya ni maradhi ambayo binaadamu hua anaumwa na vipimo vya hospitali vinaweza kuonyesha au yasionyeshe maradhi . Maradhi haya hutokana na uovu wa uchawi, majini au husda. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA ILI DAWA ZA KISUNNAH ZIWE NA NGUVU AU ATHARI ZA KUTIBU. (a) Jinsi dawa ilivyopandwa shambani pia ni jambo la msingi kuzingatiwa ipandwe sehemu yenye rutuba nzuri na wala wakati wa kupanda usiweke mbolea yenye kemikali. Mmea unaopandwa bila mbolea ya viwandani yenye kemikali huitwa kiutaalamu Organic na mmea unaopandwa kwa mbolea ya kemikali huitwa in organic plants. Hakikisha mmea wa dawa unakua organic kwa sababu haitakua na madhara yoyote. Mmea ambao hupandwa kwa 3 mbolea ya kemikali ya viwandani hua na madhara ya hayo makemikali. Kwa hivyo hakikisha unapata dawa ambayo ni organic. (b) Kuhifadhi dawa baada ya kutoka shambani katika hadhi nzuri na utaalamu katika ghala . Hapa lazima kuanza dawa ikaushwe kweny kivuli hadi ikauke vizuri kasha ihifadhiwe sehemu yenye kivuli na ukavu na wala sio kwenye jua na unyevunyevu au upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi wa dawa. Hapa maana yake ni kua utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake ya uhalisi na bado muda wake haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi wa tabibu kuhusu tiba pia ni jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu akawa tabibu bila ya elimu au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa kuhusu maelekezo ya tabibu pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4  (f) Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu .Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA KUTUMIA DAWA NA NI UKAFIRI KUTEGEMEA DAWA. UTENGENEZAJI kivuli hadi ikauke vizuri kasha ihifadhiwe sehemu yenye kivuli na ukavu na wala sio kwenye jua na unyevunyevu au upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi wa dawa. Hapa maana yake ni kua utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake ya uhalisi na bado muda wake haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi wa tabibu kuhusu tiba pia ni jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu akawa tabibu bila ya elimu au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa kuhusu maelekezo ya tabibu pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4  (f) Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu .Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA
NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU NA MARADHI MAANA HAKUNA NEEMA KAMA UZIMA.
KILAMTU HUPENDA AWE MZIMA NA UNAPOKUA MGONJWA HUWEZI HATA KUFANYA IBAADA MAANA AFYA HAI RUHUSU.
(2) MARADHI YA KIROHO (SPIRITUAL DISEASES) Haya ni maradhi ambayo binaadamu hua anaumwa na vipimo vya hospitali vinaweza kuonyesha au yasionyeshe maradhi . Maradhi haya hutokana na uovu wa uchawi, majini au husda. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA ILI DAWA ZA KISUNNAH ZIWE NA NGUVU AU ATHARI ZA KUTIBU. (a) Jinsi dawa ilivyopandwa shambani pia ni jambo la msingi kuzingatiwa ipandwe sehemu yenye rutuba nzuri na wala wakati wa kupanda usiweke mbolea yenye kemikali. Mmea unaopandwa bila mbolea ya viwandani yenye kemikali huitwa kiutaalamu Organic na mmea unaopandwa kwa mbolea ya kemikali huitwa in organic plants. Hakikisha mmea wa dawa unakua organic kwa sababu haitakua na madhara yoyote. Mmea ambao hupandwa kwa 3 mbolea ya kemikali ya viwandani hua na madhara ya hayo makemikali. Kwa hivyo hakikisha unapata dawa ambayo ni organic. (b) Kuhifadhi dawa baada ya kutoka shambani katika hadhi nzuri na utaalamu katika ghala . Hapa lazima kuanza dawa ikaushwe kwenye kivuli hadi ikauke vizuri kasha ihifadhiwe sehemu yenye kivuli na ukavu na wala sio kwenye jua na unyevunyevu au upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi wa dawa. Hapa maana yake ni kua utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake ya uhalisi na bado muda wake haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi wa tabibu kuhusu tiba pia ni jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu akawa tabibu bila ya elimu au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa kuhusu maelekezo ya tabibu pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4  (f) Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu .Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA KUTUMIA DAWA NA NI UKAFIRI KUTEGEMEA DAWA. UTENGENEZAJI WA MADAWA ZA KISUNNAH KWA MIUNDO MBINU ZA KISASA. Baada ya dawa kutoka shambani kwa mkulima na kuhifadhiwe kwenye ghala au madukani hatimae humfikia tabibu . Tabibu baadae hugeuza dawa hizi ambazo ni katika mfumo wa majani, mbegu, mizizi, maua, magome n.k. katika mfumo mwepesi kwa mgonjwa kuweza kutumia. Dawa imegawanywa kulingana na matumizi ya ndani na n MATUMIZI YA NDANI (INTERNAL USE) (a) Juisi halisi.Hii ni tiba kwa juisi itokanayo na matunda na mboga mbalimbali yenye uwezo wa kutibu maradhi husika. Inajulikana kama JUICE THERAPY.Mfano tiba kwa juisi ya machungwa na karoti kwa kutibu macho yasioona vizuri. (b) Dawa katika mfumo wa urojourojo yaani paste au maajuni. (c) Chai halisi yaani herbal tea. Hii ni dawa katika mfumo wa unga wa dawa ilio sagwa mfano unga wa habasoda. (d) Syrup. Hapa dawa hutengenezwa katika mfumo wa kinywaji kitamu mfano syrup ya mafua. (e) Vidonge na capsules (f) Aromatherapy. Hapa maana yake ni mgonjwa kupewa da kupata harufu ya dawa. Mfano wa mafusho udi mvuke wa mwarubaini au habasoda. MATUMIZI YA NJE ( EXTERNAL USE ). (a) Dawa za kuchua. (b) Sabuni. (c) Jelly au mafuta ya mgando kwa maradhi ya ngozi. (d) Krimu. (e) Mafuta ya nywele yaani hair tonic. (f) Shampoo. (g) Losheni. (h) Dawa za vidonda na majeraha.. HERBAL CLASSIFFICATION: MGAWANYIKO WA DAWA ZA MITI KULINGANA NA UTENDAJI KAZI. Ni lazima tabibu awe na maarifa yafuatayo ili aweze kutengeneza dawa kwa maradhi husika. (a) Uwezo wa dawa kuweza kutibu – cure or healing power. 7  (b) Nutrients percentage. (c) Herbal composition and classification. Elimu au maarifa ya herbal classification ni ujuzi au utambuzi wa uwezo wa kuweza kutibu kwa dawa na katika mgawanyiko kulingana na uwezo na kazi ya dawa. Migawanyiko wa uwezo wa dawa ni kama ifuatavyo; (1) AROMATIC DIGESTIVES. Hizi ni dawa zenye uwezo na nguvu za kuchochea usagaji wa chakula mwilini ufanyike vizuri na kumpa mtu hamu ya kula. Huongeza utengenezaji na utendaji kazi wa vimengenya mwilini vya digestion. Mfano ni iliki, mdalasini, karafuu , pilipili manga.
(2) VASOLIDATORS. Haya ni madawa ambayo hutuliza mwili kutokana na uchovu na maumivu. Hushusha homa, husaidia mzunguko wa damu mwilini. Mfano ni tangawiizi, kitunguu saumu. 8
(3) SEDATIVES AND ANTISPASMODICS. Haya ni madawa ambayo hutuliza maumivu na kumpa mtu utulivu au burudani.- calming and soothing effects mentally and physically. Mfano ni babunaji, nana, passion flowers. (4) DIURETICS (CLEANSING HERBS) Madawa haya husaidia katika kutoa taka mwilini yaani katika excretory system ambayo ni mfumo wa mkojo, jasho, sumu n.k. Mfano ni aloe vera, zaatar n.k. (5) EXPECTORANTS. Ni madawa khasa yenye uwezo wa kusafisha na kutoa taka au maradhi ndani ya mapafu na koo.Mfano zamda ya mbegu. (6) TONIC HERBS. Ni madawa yenye uwezo wa kuongeza nguvu za kiume na mwili kwa jumla. Mfano ni arkisusi, uwatu. Hulinjan n.kMDALASINI NA ASALI

Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee.

Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama itachanganywa na mdalasini wa kawaida.

Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora.

Kama ifuatayo:
1. Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}.
Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.

Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.

Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen, madaktari waliwapa wagonjwa 200, {syrup} mchanganyiko wa kijiko kimoja 'cha chai' cha asali na kimoja cha mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na ongezeko katika kufanya shughuli kama kujongea na kutembea vyema.

2. Kukatika kwa nywele {HAIR LOSS}
Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15.

3. Ukungu wa miguuni {FUNGUS}
Changanya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha kwenye kipindi cha wiki moja.

4. Maamhukizo kwenye kihofu cha mkojo {BLADDER INFECTION}
Bilauri ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai} vya mdalasini na kijiko kimoja {cha chai} cha asali huondoa bacteria kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya maji ikiwa ambukizo la kibofu linakuwa sugu.

5. Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.
Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino.

Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.

6. Vidonda vitokanavyo kwa mgonjwa kulala kwa muda mrefu {CANKER
SORES}.

Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya raspberry nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.

7. Helemu {CHOLESTERAL}

Kipimo cha helemu cha watu waliokuwa na afya nzuri {katika jaribio} kilishuka kwa wastani wa asilimia 10 katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa bilauri moja {ounce 16} yenye vijiko viwili vikubwa vya mdalasini iliyochanganywa na chai ya moto. Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazi nzuri ya kushusha kiwango cha helemu mwilini.

Madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya chai hii pamoja na chakula chako. Hii imeripotiwa na mtafiti maarufu Dr Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.

Ugunduzi wao uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994. vilevile/ aidha uchunguzi mwingine ulibayanishwa kutoa matumizi ya kila siku ya asali safi hupunguza viwango vya helemu.

8. Mafua {COLDS}
Mafua yameshaeleweka ya kwamba hupotea/huondoka baada ya masaa machache baada ya waathirika kutumia kijiko kimoja {cha mezani} cha asali vuguvugu iliyochanganywa na robo kijiko{cha chai} cha mdalasini, mchanganyiko huu ni mahususi katika kusaidia kuondoa chafya na kuvimba koo.

9. Ugumba {INFERTILITY}

Asali inaaminika kuamsha nyege na wapenzi wa jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa angalau vijiko viwili {vya mezani} kila siku kabla ya muda wa kulala {usiku}.

Mdalasini umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza uwezo wa uzazi ka kina mama wenye kuhitaji kuzaa.

Kiungo hiki {mdalasini} huchanganywa na kiasi cha asali na kufanya mgando {paste} ambao hupakwa kwenye fizi za meno na kunyonywa na kuingia mwilini taratibu.

Familia moja iliyokuwa haina watoto iltumia mgando huu kwa mafanikio na kupata mapacha wa kike baada ya kushindwa kwa muda wa miaka 14 kupata mtoto. Walikuwa wameshakata tamaa ya kupata mtoto hadi waliposikia kuhusu mchanganyiko huu wa asali na mdalasini.

10.Mchafuko wa tumbo {UPSET STOMACH}
Asali imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo pamoja na kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivu yaletwayo na vidonda vya tumbo.

11. Esidi/Gesi-Co2. HCO3. HCl.
Kula asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na gesi/asidi kwa mujibu wa uchunguzi mahsusi iliofanywa huko India na Japan.

12.Ugonjwa wa Moyo {HEART DISEASE}
Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara-kwa kupakaa wakati wa kifiingua kinywa.

Kula asali ya mkate wa ngano yenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko kimoja {cha mezani} cha mchanganyiko huo hapo juu kila siku. Tiba hii ya maajabu iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmoja ulionyesha.

13
. Shinikizo la damu {HIGH BLOOD PRESSURE}
Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo ya maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa kitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali ilyochanganywa na mdalasini.

Vipimo vya shinikizo la damu vilionyesha ukawaida na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia vyema/vizuri baada ya wiki chache za tiba hii ya ajabu.

14.
Kinga ya mwili {IMMUNE SYSTEM}
Kinga yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na mdalasini kwa pamoja - wataalamu wanasema.

Utafiti wa kitiba unaonyesha kwamba hazina kubwa ya vitamini{vivurutubisho}na madini pamoja na michanganyiko mingine iondoayo magonjwa pamoja na kinga itolewayo na chembechembe nyeupe za damu, husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea {virus} na {bacteria}.

15.
Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.

Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao za kufanya mapenzi.

16.
Kutokuchaguliwa kwa chakula {INDIGESTION}
Vijiko viwili vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo{kula chakula} huondoa kiungulia na wataalamu wanasema kwamba asali husaidia kutolewa kwa juisi zinazotumika kuchaguliwa kwa vyakula tumboni na mdalasini unaongeza spidi ya kuchaguliwa kwa vyakula.

17.
Flu {INFLUENZA}
Tafiti moja ya kihispania imethibitisha kwamba aina ya dawa moja asilia ya ajabu ambayo huharibu vairasi {vimelea} waletayo Flu.

18.
Umri wa kuishi {LONGERVITY}
Unaweza kuishi kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa kunywa kila siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali. Kutengeneza kinywaji hiki kitamu, weka vijiko vine{vikubwa} vya mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10. kunywa robo kikombe kutwa mara tatu au nne na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.

19.
Chunusi {PIMPLES}
Changanya vijiko vitatu vya asali pamoja na kijiko kimoja cha mdalasini na pakaa kwenye chunusi.

Uwezo wa asali wa kuua bacteria utaufanya uso wako kuwa kawaida katika muda wa wiki mbili.

20.
Kuumwa na wadudu {kwa washawasha} wenye sumu
Pakaa asali na mdalasini moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia wakati mwasho unapokuathiri. Rudia tena hadi viuvimbe vinatoweka.

21
.Madhara ya ngozi {INFECTIONS}
Fanya kama ilivyoelekezwa hapo juu. Rudia kufanya hivyo hadi hali itakapokwisha.

22
.Kupungua kwa uzito
Wawezakufurahia vyakula vyote unavyopenda, kuwa na afya nzuri na kupunguza uzito wa mwili ambao hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha nzuri, kilichojaa vitu viwili muhimu vya asili ambavyo ni asali na mdalasini.unachohitajika kufanya ni kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi yako. Vilevile, wataalamu wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyamanyama nje ya mwili kwa kuanza siku yako kwa kutumia vijiko viwili vya asali iliyochanganywa na kijiko kimoja cha mdalasini ndani ya bilauri ya maji vuguvugu. Rudia mchanganyiko huu kabla ya kulala.

Wakati wa kipindi cha baridi kinapokaribia, ambacho kinaambatana na mazoezi machache, kuongeza hivi vitu viwili vya asili katika chakula ni muafaka. Pia kinywaji hiki vuguvugu kimeshahakikishwa na wataalamu wa lishe kwamba hupunguza hamu ya kula pamoja na kuleta joto mwilini.

23.Sarakani {CANCER}
Utafiti uliomalizika karibuni huko Australia na Japan, umeonyesha kuwa asali ina uwezo mkubwa katika tiba ya mgonjwa anayetumia madawa ya kutibu sarakani.

Katika tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua kwa kiwango kikubwa sarakani ya mifupa na tumbo, wale waliokuwa wakitumia kila siku dozi za asali na mdalasini, walionyesha maradufu kupata nafuu kuliko wale waliokuwa wakitumia wakitumia madawa ya sarakani pekee. "Tuliwapa kijiko cha mdalasini na asali kutwa mara tatu kwa mwezi".anasema Dr Hiroki Owatta. "Wengine waliendelea na milo ya kawaida".

24.Uchovu {FATIGUE}
Upo ushahidi mpya kwamba sukari asilia zilizopo kwenye asali zina uwezo wa kuongeza nishati mwilini. Zikitumika ipasavyo, sukari hizi zinaweza kuwasaidia wazee na wengine wanaosumbuliwa na uchovu, wataalamu wanapendekeza kuchauganya nusu kijiko cha asali katika nusu bilauri ya maji, nyunyizia mdalasini na kunywa masaa mawili baada ya kuamka asubuhi. "Kunywa tena saa 9 alasiri wakati nishati {nguvu}inapoanza kushuka" anashauri Dr Milton Abbozza ambaye kazi zake kuhusu asali na mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa. "katika wiki moja hii itajionyesha".

25.Kuvimba Nyayo {SORE FEET}
Chua asali na mdalasini vuguvugu katika {miguu}
__________________
LISHE YA KUONGEZA KINGA MWILINI NA CD4
Virusi vya ukimwi ( V.V.U. ) hudhoofisha nguvu za mwili
kujikinga na maradhi nyemelezi. Mgonjwa hushambuliwa na
maradhi kwa sababu kinga mwilini imepungua. Lishe ya kuongeza
CD4 husaidia kuongeza kinga mwilini na kupunguza makali ya
ukimwi.
ZINGATIA;
Siyo watu wote wenye maambukizi ya ukimwi wanalazimika kuanza
kutumia lishe ya kuongeza CD4 na kupunguza makali ya ukimwi.
Utaanza tu kutumia kwa kutegemea hali ya afya yako, idadi ya
chembechembe za CD4..
LISHE NA DAWA ZA KUONGEZA CD4 NI NINI ?
Ni dawa zenye uwezo wa kupunguza makali ya V.V.U
mwilini.Huongeza kinga mwilini na kumpa mgonjwa nafuu kwa kumpa
nguvu ya kufanya shughuli zake kama kawaida.
Ikiwa kinga itapungua sana na kuanza kushambuliwa mara kwa mara na
maradhi nyemelezi, unashauriwa uanze kutumia lishe ya CD4.
LISHE YA KUONGEZA KINGA MWILINI.
Kwa ajili ya kuongeza kinga mwilini tumia moja ya fomula nne za hapa chini:
CD4 Fomula 1
Vitu vinavyohitajika:
Mbegu za figili (unga) - kijiko kimoja cha chakula.
Haba Soda (unga) - kijiko kimoja cha chakula.
Kitunguu thaumu (unga) - kijiko kimoja cha chakula.
Asali - lita moja
Sufa - kijiko kimoja cha chakula.
Mdalasini (unga) - kijiko kimoja cha chakula.
Matayarisho: Vitu vyote hivyo vichanganywe pamoja hadi viwe juisi.
Matumizi: Kunywa vijiko vitatu vya chakula kutwa mara tatu.
CD4 Additive Fomula 2:
Vitu vinavyohitajika:
Karoti 2
Ndizi mbivu 2
Pilipili mboga 2
Chumvi kidogo
Ndimu 1
Nanasi robo kilo
Njegere robo kilo
Kunde mbichi robo kilo
Papai bichi 1
Karanga robo kilo
Embe kubwa 1
Parachichi 1
Matayarisho: Vitu vyote hivyo visagwe pamoja hadi viwe juisi.
Matumizi: Kunywa glass moja kutwa mara mbili.
CD4 Additive Fomula 3
Vitu vinavyohitajika:
Karoti iliyosagwa robo kilo.
Kitunguu thaumu (unga) robo kilo.
Mdalasini wa unga robo kilo.
Tangawizi ya unga robo kilo.
Majani ya Alovera matatu (yasagwe).
Asali lita moja.
Limau 2
Matayarisho: Ongeza maji lita mbili na uache kwa muda wa masaa 8 kisha chuja na uhifadhi
kwenye friji.
Matumizi:
Kikombe cha kahawa kutwa mara 4 kwa muda wa mwezi mmoja.
CD4 Additive Fomula 4
Vitu vinavyohitajika:
Tende 1kg.
Kitunguu thaumu robo kilo.
Maziwa halisi 1 lita.
Uwatu vijiko vikubwa vinne.
Mdalsini (unga) vijiko vikubwa vinne.
Tangawizi ya unga vijiko vikubwa vinne.
Haba Soda ya unga vijiko vikubwa vinne.
Matayarisho:
Saga tende na maziwa kwa pamoja kisha changanya vitu vingine na weka jikoni na kuvipika
pamoja hadi viive.
Matumizi:
Kula vijiko viwili vikubwa (vya chakula) mara tatu kwa siku kwa muda wa miezi mitatu.
Zingatia: Baadhi ya vitu vilivyotajwa hapo juu vinapatikana kwenye maduka ya dawa za
Kisunnah na Kiarabu, hivyo ni muhimu kuvipata kutoka kwenye maduka halisi yanayouza vitu
hivyo.
DAWA YA MADONDA YA TUMBO
Chukua maganda ya palachichi uyaanike mpaka yakauke kasha yasage. Chukua ungahuo ujazo wa vijiko vi3 vya chakula pamoja na vijiko vitatu vya hasali mbichi kasha tumia kulamba kwa muda wa siku7.
Kilasiku unatengeneza kwa utalatibu huo mpaka hizo siku7.DAWA YA NGUVU ZA KIUME
Chukua unga wa maganda ya palachichi vijiko vitatu vya chakula, unga wa hiliki vijiko vi3, hasalimbichi ujazo wa lita moja, maziwa fresh ya ng”ombe, majani ya mti wa palachichi.
Tumia vijiko vi3 asubuhi mchana na jioni kwa mda wa siku7.


DAWA YA KIKOJOZI
Chukua manyoya ya mahindi na uyachemshe na uweke manyoya ya kuku ya mkiani.


DAWA YA UGONJWA WA FIGO
Chemsha ndevu za mahindi  ujazo wa lita3 kilasiku kunywa lita moja kwamda wa siku3.
Kama bado utahisi bado ugonjwa upo kunywatena kwa muda wa siku3.DAWA YA KUONGEZA NURU MACHO
Chemsha mizizi ya mahindi na utumie gras moja asubuhi moja mchana moja jioni kwa muda wa siku7. Hakika macho yatapata nuru.DAWA YA MARELIA
CHUKUA NDIM SABA KAMLIA KATIKA GRAS NA MAJI YA DAFU KISHA KUNYWA ASUBUHI GRAS MOJA NA JIONI GRAS MOJA.
Marelia itaondoka kabisa.
Pia kama marelia ina kusumbua mara kwa mara jitahidi kufanya mazoezi maana mazoezi huzichangamsha kinga mwilini.


DAWA YA AREGI
Tumia ndim moja asubuhi moja mchana moja jioni kwa mda wa siku7. Tatizohilo litaisha bila was was.
KUTOA SUM MWILINI
Dawa za kemikali husababisha sum mwilini na husababisha kupata baadhi ya maradhi. Unashauliwa kutumia maji ya ndim gras moja kila mweza ili kuondoa sum mwilini.DAWA YA MAPUNYE NA FANGAS NA MBA.
Chukua majani na maua ya ndia saga kwa pamoja paka mahali palipo athilika kwa kutumia mafuta ya mzeituni au mafuta ya nazi ila kwa uzulizaidi tumia mafuta ya mzaituni.

DAWA YA UGONJWA WA KISUKARI.
Chemsha boga na ule vipande viwili kilasiku kwa mda wa siku7.

DAWA YA MABALANGO
Osha mahali penye ugonjwa na upake utonvi wa papai patakauka.
DAWA YA INI
Chukua mbegu za papai na uzichemshe kasha kunywa moja mala2 kwa muda wa siku7DAWA YA UGONJWA WA KISUKALI
Chukua majani machanga ya mti wa mzambalau na majani ya mchaichai kasha uchemshe na unywe gras moja asubuhi moja mchana na moja jioni kwa mda wa siku7.DAWA YA KUZUIA MIMBA KUTOKA
Chemsha majani ya mzambalau lakini yawe machanga.
Chemsha ujazo wa rita moja kunywa ujazo war obo gras 1 mara2 mpaka itakapo isha.
DAWA YA KUFUNGA KUHARISHA
Chukua majani machanga ya mpela na uyatwange kasha uyaloweka katika maji masafi na unywe gras moja asubuhi moja moja jioni.
DAWA YA UZAZI
Chimba mazizi ya muembe pamoja na mizizi ya mgomba chemsha na unywe kwa mda wa siku14  utapata mimba na kama unatatizo la kupata mimba zinatoka pia dawa hii husaidia.DAWA YA MSHIPA WA NGILI
Chemsha mizizi ya mwarobaini na mizizi ya tunguja kunywa gras moja asubuhi na jioni ngili ata tulia.DAWA YA KICHOCHO
Chemsha mizizi ya mwarobaini na unywe1 mara2 kwa mda wa siku3.DAWA YA MARELIA SUGU
Chemsha majani ya mwarobaini na arovea.
Kunywa maja mara3 kwa mda wa siku3 mareria itapona.DAWA YA TETEKUANGA
Cchemsha majani ya mwarobaini ujazo wa rita tano au zaidi kasha ue una mnywesha kikombe kimoja na nyingine anaoge kwa muda wa siku3.

Dawa zipo nyingi na nitaendelea kuwafundasha katika kitabu kijacho.