Sunday, December 25, 2011

IJUE NYOTAYAKO


NYOTA
JINSI YA KUFAHAMU NYOTA YAKO CHUKUA JINA LA BABA YAKO CHUKUA JINA LAKO  NA LA MAMA GAWANYA  KWA KUMI NA MBILI.
1.           IKIBAKI MOJA NI PUNDA.
2.           IKIBAKI MBILI NI NG,OMBE.
3.           IKIBAKI TATU NI MAPACHA.
4.           IKIBAKI NNE NI KAA.
5.           IKIBAKI TANO NI SIMBA.
6.           IKIBAKI SITA NI MASHUKE .
7.           IKIBAKI SABA NI MIZANI .
8.           IKIBAKI NANE NI NGE.
9.           IKIBAKI TISA NI MSHALE.
10.      IKIBAKI KUMI NI MBUZI.
11.      IKIBAKI KUMI NA  MOJA NI NDOO.
12.      IKIBAKI KUMI NA MBILI NI SAMAKI.

NA PIA KUNA NYOTA ZA AINA NNE AMBAZO NDIZO NYOTA ZA ASILI NA UKITAKA KUZIJUA NYOTA HIZO UNACHUKUA JINA LAKO LA BABA NA LA MAMA UNAGAWANYA KWA NNE
1.           IKIBAKI MOJA NI  MOTO .
2.           IKIBAKI MBILI NI UDONGO.
3.           IKIBAKI TATU NI UPEPO.
4.           IKIBAKI NNE NI MAJI.

NYOTA HIZI NDIZONYOTA ZA ASILI AMBAZO INATAKIWA TUZIFAHAMU MFANO MTU MWENYE NYOTA YA MOTO HATAKIWI KUFANYA KAZI ZA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI  MAANA NYOTA YAKE ITAZIMIKA.
MWENYE NYOTA YA MOTO KAZI ZAKE NI UDREVA,UASKARI,UMACHINGA,HOTELI,, BIASHARA, ZINAZOHUSIKANA NA KUSAFIRI SAFIRI AU SALUNI MAANA SALUNI MOTO UNATUMIA UMEME ,FUNDI WELDING,NA KAZI ZINAZOHUSU UPEPO MAANA MOTO NA UPEPO ZIKO PAMOJA.
NA PIA NYOTA YA MAJI NA UDONGO ZINAFANYA KAZI MOJA.KAZI ZAO NI UVUVI,KULIMA ,UFUGAJI,KUCHIMBA MADINI, FUNDI WASH,FUNDI UJENZI.N.K.
MTU MWENYE NYOTA YA MOTO INATAKIWA AOLEWE NA MTU MWENYE NYOTA YA UPEPO.
NA MTU MWENYE NYOTA YA MAJI INATAKIWA AOANE NA NA MTU MWENYE NYOTA YA UDONGO.

WATU WENGI NDOA ZAO HUHARIBIKA MAANA HAWAFATI MAMBO HAYA .KUJUA  NYOTA NI MUHIMU SANA NA HATA KIBIASHARA INATAKIWA TUJUE NI HERUFI GANI ZA KUANDIKA KATIKA BIASHARA AU KATIKA MADUKA YETU.
`
PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI MFANO MWENYE HERUFI INAYOANZA NA   A,=PUNDA.  B=NG,OMBE.   C=MAPACHA.    D= KAA.   E= SIMBA.     F=MASHUKE.    G=MIZANI .  H=NGE.      I=MSHALE.    J==MBUZI.  K= NDOO.  L=SAMAKI.   M=PUNDA. N=NG,OMBE.   O=MAPACHA. P=KAA.   Q=SIMBA.   R=MASHUKE.   S=MIZANI.     T=NGE.   U=SAMAKI.   V=MBUZI.    W=NDOO.   X=SAMAKI.    Y=PUNDA.    Z=NG,OMBE..NA HIZO NI KUZIJUA NYOTA KWA KUTUMIA HERUFI YA MWANZO WA JINA LAKO.

PIA KUNA KUZIJUA NYOTA KWA KUZALIWA  KUTOKANA NA MWEZI ULIOZALIWA MFANO.
TAREHE 19   MWEZI  WA   1   HADI   TAREHE   20  MWEZI    WA    2  NI   NDOO.
TAREHE 21   MWEZI  WA   2   HADI   TAREHE   20  MWEZI    WA      3  N I   SAMAKI.
TAREHE 21   MWEZI   WA    3   HADI   TAREHE   20  MWEZI   WA     4   NI    PUNDA.
TAREHE 21   MWEZI  WA   4    HADI    TAREHE   20    MWEZI  WA     5     NI  NG,OMBE.
TAREHE 21 MWEZI  WA    5       HADI    TAREHE  20   MWEZ I WA     6    NI  MAPACHA.
TAREHE 21 MWEZI WA    6        HADI   TAREHE   20     MWEZI  WA    7    NI KAA.
TAREHE 21 MWEZI WA    7       HADI    TAREHE    21       MWEZI  WA  8     NI   SIMBA.
TAREHE 22 MWEZI WA   8       HADI    TAREHE     22 MWEZI      WA      9         NI  MASHUKE.
TAREHE 23  MWEZI WA 9      HADI      TAREHE       22 MWEZI    WA     10     NI  MIZANI.
TAREHE 23 MWEZI WA 10     HADI      TAREHE    21 MWEZI     WA       11     NI     NGE.
TAREHE 22 MWEZI WA 11 HADI TAREHE 21 MWEZI   WA  12  NI    MSHALE.
TAREHE 21 MWEZI WA 12 HADI TAREHE 18 MWEZI WA  KWANZA  NI  MBUZI.

HIZO NDIZO  NYOTA KWA NJIA YA TAREHE .
PIA NYOTA HIZI ZIKO KATIKA MAGURUDUMU KAMA  NILIYOYATAJA HAPO NYUMA MFANO.
1.           NDOO=     MOTO
2.           PUNDA = MOTO.
3.           NG,OMBE =UDONGO
4.           MAPACHA = UPEPO.
5.           KAA=MAJI.
6.           SIMBA=MOTO.
7.           MASHUKE= UDONGO.
8.           MIZANI =UPEPO.
9.           NGE=MOTO.
10.      MSHALE=MOTO.
11.      MBUZI =UDONGO.
12.      SAMAKI = MAJI.20 comments:

 1. mbona mie ukifuata herufi ya mwanzo wa jina, unapata nyota ingine, ukifuata tarehe ya kuzaliwa unapata nyota ingine, ukikokotoa majina ya wazazi, unapata nyota ingine...kulikoni??

  ReplyDelete
 2. Mfano nmeoa m2 ambaye nyota ze2 znafanana mm moto na yy moto kutakuwa na maelewano au mafanikio hapo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hakuna wa kumuamsha mwenzake.. hapata kuwa na mafarakano ila hapata kuwa na mwenye kauli nyumbani

   Delete
 3. Mkuu mimi bado kabisa kuelewa kugawa majina ya baba, mama, na la kwangu...labda unipatie mfano kwa kupitia email yangu ya spyrazgigga@gmail.com

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hivi naomba kujua mim nyota yangu ni ng'e na mpenzi wangu mshale zinaendana hizi

   Delete
  2. Moto huwaka juu ya udongo.. sio mbaya sana ila kama ungepata Mizani naamani upepo ni nzuri zaidi

   Delete
 4. je mm ni takuwa na nyota hip sss jina langu paul prosper shirima

  ReplyDelete
 5. mm ni takuwa na nyota hip ss jina langu Dauson Anthony

  ReplyDelete
 6. mkuu tunaomba utuelekeze vizuri kuhusu uko kugawa maana sielewi

  ReplyDelete
 7. Nimemuota shemej angu nnkiwa nambusu halafu anamimba hi ndoto inamaana gani kwangu

  ReplyDelete
 8. Mimi na mtu wangu ni Mapacha je tutaishi vizuri

  ReplyDelete
 9. Mimi na mtu wangu ni Mapacha je tutaishi vizuri

  ReplyDelete
 10. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 11. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 12. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete