Monday, January 2, 2012

DALILI ZA MTU MWENYEMAJINI MCHANGANYIKO1.KUNA KUJITAMBUA KUWA UNA MAJINI KWA NJIA MBALIMBALI.KUJITAMBUA KWA   NJIA YA NDOTO YA DHAHILI.

2.DALILI ZA DHAHILI.
     A.KIZUNGUZUNGU.
     B.VITU KUTEMBEA TUMBONI.
     C.VICHEZA MWILINI.3
    D.KICHWA KUUMA MARA KWA MARA.
    E.KUHISI MTU ANATEMBEA NYUMA YAKO.
    F.KUPIGA MIHAYO SANA.
   G.MACHO KUKOSA AIBU.
   H.HASIRA ZA MARA KWA MARA.
   I.KUPOTEZA KUMBUKUMBU.
   J.UGOMVI WA MARA KWA MARA.
   K.MARADHI YA KUJIBADILISHA BADILISHA.
   L.KUHISI BARIDI MARA KWA MARA.
   M.KUTOJISIKIA KUONGEA HASA WAKATI  UNAPOSSEMESHWA NA MTU UNAONA    KAMA
         ANAKUSUMBUA.
   N.MASIKO KUPIGA KELELE.
  O. KUHISI VITU VINAONGEA MASIKIONI.
   P.KUPOTEZA HELA MARA KWA MARA KWA NJIA YA KUTATANISHA.
   Q.KUHARIBIKIWA NA VITU HASA VYA MOTO.
   R.MATATIZO YA HEDHI KUFUNGIKA AU KUTOKA KWA WINGI AU KUKOSA KABISA.
   S.KUFUNGIKA KWA KIZAZI.
   T KUSTUKA STUKA
U.MOYO KUONGOKA SAWA NA MTU MWENYE PRESHA.
V.KUPUNGUKIWA DAMU NA KUKONDA AU KUISHIWA MAJI MWILINI.
W.KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME AU ZA KIKE.
 X.KUSIKIA UCHUNGU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU UNAPOMALIZA.
 Y. KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOMALIZA TENDO LA NDOA.
 Z.KUHISI MANUKATO AU HARUFU MBAYA.
 AA.KUKOSA HAMU YA KULA AU KUBAGUA CHAKULA.
BB.MIMBA KUPOTELEA TUMBONI.
CC. KUHISI WATU WANAKUSEMESHA NA HAUWAONI.
DD.KIFAFA.
EE.KICHAA.
FF.PIA MAJINI HUMSABABISHA MWANAMKE KUWA MKALI WAKATI  ANAPOOMBWA
      TENDO LA NDOA.

3.DALILI KATIKA NDOTO.
     A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.
     B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.
    C. KUOTA UNAPIGWA.
   D.NDOTO ZA KUOGELEA.
   E. NDOTO ZA KUPAA.
   F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.
  G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.
  H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.
  I.KUOTA UNAPIGANA.
  J.KUOTA UNAPIGA KELELE.
K.KUOTA MOTO MKUBWA.
L. KUOTA UNAZIKA.
M.KUOTA UMEKUFA.
N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.
O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.
P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.                                                                                      
Z.KUOTA UNAONA VISUGUU.
AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.
BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.
CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.
DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.
 EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..
FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE
      NA KITAMBAA CHEUPE.
GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.
HH.KUOTA VIBUYU.
II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.
KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .
       HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA 
       KWA UFUPI .NA PIA NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUNIPA FAHAMU ILI NIENDELEE
       KUWAELIMISHA NA KUWAFUNDISHA MAMBO MENGI YA KUWATAMBUA MAJINI KWA NJIA ZA
       NJOZI PIA KWA NJIA ZA DHAHILI.WATU WENGI WANASUMBUKA NA MASHETANI ,MIZIMU,MAJINI,
       MAITI LAKINI HAWAJITAMBUI SASA NAHITAJI KUWAPA ELIMU ILI MUWEZE KUFAIDIKA NAZO.
       NA PIA NAWAFUNDISHA  DAWA KWA AJILI YA HUDUMA YA KWANZA.ASANTE YENU
       ITANISABABISHA KAZI  YANGU KUSONGA MBELE HII NI MOJA YA SADAKA.
       KWA SASA MAJINI NDIO WANAONGOZA KWA KUWATESA WATU ,NA KUWATIA  NUKSI,NAKUWAFILISI ,PIA NA KUVUNJA NDOA ZA WATU.

8 comments:

 1. Naomba namba yako doctor. Niko dodoma nataka kuja kukuona. Na tatizo la tofauti. Namba yangu 0759680980 ikiwezekana nitafute leo hii.

  ReplyDelete
 2. mm tatizo langu nina majini tena yanapanda lakini hayaongei,Niliambiwa jadi nimefanya matambiko nakufungua vifungo mbalmbali bila mafanikio naitaji ushauri wako Dr,0714865763

  ReplyDelete
 3. Dr.haji unaapatikana wapi?mm nahitaji dawa dalili nyingi mm ninazo hapo

  ReplyDelete
 4. Inshallah! Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema akujaalie wingi wa uwezo aidha kutujuza yale tusiyoyajua. Kwa upande wangu nimenufaika sana na ukurasa wako mathalani niwapo na tatizo huwa naingia na kudurusu mambo kadha wa kadha. Lakini napenda nipate msaada kutoka kwako juu ya swali langu binafsi. Namba yangu ya kiganjani ni 0763 282 744. Naimani ombi langu litafanyiwa kazi kwa moyo mweupe. Ahsante! Wabillah tawfiq.

  ReplyDelete
 5. Dr. Mm mke wangu amekua akisumbuliwa sana na majini. Hadi kufikia kutangatanga mtaani na kuwaacha watoto wakiwa wadogo bila huruma. Akiondoka naweza mpata morogoro au iringa na huko cjui amesafiri vp. Mwanzon nlikua nampata kwa sababu alikua anaondoka na cm ila juzi tena mke wang ametoweka na aliacha cm zake. Nahitaji kumsaidia mke wangu maana ninaipenda familia yangu. Nahitaji msaada wako Dr. Namba zangu ni 0755816304

  ReplyDelete